NaijaMusic
Harmonize – Ushamba
Ushamba by Harmonize Mp3 Download
Don’t sleep on this one from Harmonize titled Ushamba. Rajab Abdul Kahali, also known by his stage name Harmonize, is a Tanzanian singer, songwriter, and entrepreneur. He first emerged on the national music scene in 2015. A perfect track for those who love quality music.
Use the link below to stream and download Ushamba by Harmonize.
Lyrics of Ushamba by Harmonize
KondeboyWee
Huo ni ushambaa huo ni weeHuo ni ushambaa huo ni weeHuo ni ushambaa huo niEh huo ni ushambaa
Pesa ya kulipa gesti unayo eeehNyumbani familia inapiga miyayo eeehMmh yanafurahisha ufanyayoEeeh huo ni ushambaInaboa kudadadekidereva wa uber hataki kuova tekiEti kisa pesa haiongezekiEeh huo ni ushambaYupo kitandani kajilegeza eehMi nimeshapaka vya kutelezaEeh eti bebi leo simba wanachezaEeeh huo ni ushambaHusband materialKutwa unalike picha za makalioVya wenzako usijipe matamanioEeh huo ni ushambaAshura wa mbagalaHuna pakula pakulalaKomenti ndefu picha za kajalaHuo tunaita eeeh huo ni ushamba
Huo ni ushambaa huo niHuo ni ushambaa huo niHuo ni ushambaa huo niEeeeh huo ni ushambaa
Mmmh malejendi si wamerudisha vitaWanahofia eti jeshi anawapitaBila sababu wananikunjia nditaeeh huo ni ushambalimechoka acha nilikalagaze halina meno ilo simba zeeeLikila demu lazima litangazeHuo tunaita eeeh huo ni ushambaHivi dunia ndo ipo kikomo eehMaana hadi waganga wanapiga promoHadi insta eeh wana page za kujipigia domoEeeh huo ni ushambaAmepanga chumba huko vingungutiYupo mbezi kwa demu pesa hatafuti mmhVipi akikupiga kibutiEeeh huo ni ushambaAaah konda wa daladala umenipitisha bahati mbaya nililala unataka nilipe tena ni busaraEeeh huo ni ushamba
Huo ni ushambaa huo niHuo ni ushambaa huo niHuo ni ushambaa huo niEeeeh huo ni ushambaa
Kaja na vumbi uso umefubaaAnadai kapaka poda eehKaniomba nauli ya ubereeeh huo ni ushamba yule namuona kapanda bodaVitu vingine haviji na ubongo eehPunguzeni sifa wana sio mchongo eeh demu humjui unampakia mkongooEeeh huoni ushambaaYeye ndo kalewa kuliko woteAnaimba nakucheza ngoma zoteWakati wakulipa bili sina chochoteEeh huo ni ushambaaMeno yote nje anachekeleaAhsante bebi nimepokeaHasa mbona haujatuma na yakutoleaaEeeh huo ni ushambaaKumepambazuka alfajiri tupo club wana anasema subiriYani kisa yeye ndo mwenye usafiri aahEeeh huoni ushambaaTunaishi kwa nyumba ya kupangaMwenzetu unatuletea mugangaUnataka wote tuonekane wangaa huo tunaitaEeeh huo ni ushambaa
Huo ni ushambaa huo niHuo ni ushambaa huo niHuo ni ushambaa huo niEeeeh huo ni ushambaa.
Hehehe hasa kama kama tumekutana mchana unasema haujalahehehe asubuhi si ungeniomba mswaki wewee hehehe hahaha hahahahah
Huo ni ushambaa huo niHuo ni ushambaa huoniHuo ni ushambaa huo niHuo ni ushambaathey call me kondeboy no 1 jeshi
-
NaijaMusic9 months agoHuntrix – Golden (KPop Demon Hunters)
-
NaijaMusic8 months agoYaks Aruwa – Taimake Ni
-
NaijaMusic9 months agoThe Stranglers – Golden Brown (Slowed Down)
-
NaijaMusic9 months agoXania Monet – Let Go, Let God
-
NaijaMusic7 months agoThrough Me – Lord I’M Tired But Don’T Give Up On Me
-
NaijaMusic8 months agoGIMS – DO YOU LOVE ME