Connect with us

NaijaMusic

Harmonize – Amelowa

Amelowa by Harmonize Mp3 Download

Add this smooth jam by Harmonize to your mix titled Amelowa. Rajab Abdul Kahali, also known by his stage name Harmonize, is a Tanzanian singer, songwriter, and entrepreneur. He first emerged on the national music scene in 2015. A perfect track for those who love quality music.

          DOWNLOAD MUSIC HERE

Use the link below to stream and download Amelowa by Harmonize.

Lyrics of Amelowa by Harmonize

Hiyo miinamo huko nyuma yaliyomo yamo eeehBinti wa makamo come closer na give me some moreKama tunda lilimshinda Adamu akashindwa kuvumiliaSa kwanini tuitane binamu na nyongo itatumbukiaUlimi ukipitiliza kunanimaliza mwenzako bado najiulizaHivi ni kweli ama tunaigizaMoyo umezama kwake bila yeye siwezi toboaMi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye giaZikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatoka
Amelowa, amelowa amelowa na mvuaAmelowa amelowa amenyeshewa na mvuaMtoto amelowa amelowa amelowa na mvuaAmelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Uuuh aaah ameniweka kwenye chupa ndo maana natambaUuuuh aaah kwenye papara pupa nawona washambaJeupega mwanao wenye kwilejakuloa jejikukila mwanauLiduvalipapa ukakaukyilamba, liduvalipamba ukakaukakyilambaMoyo umezama kwake bila yeye siwezi toboaMi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboaAlinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisiaNa nilipochuchumia maji yakatoka
Amelowa, amelowa amelowa na mvuaAmelowa amelowa amenyeshewa na mvuaMtoto amelowa amelowa amelowa na mvuaAmelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Ameniweka kwenye chupa ndo maana natambaKwenye papara pupa nawona washambaAlinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisiaNa nilipochuchumia maji yakatoka amelowa
 

Download Mp3 Here

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending Musics